RAIS DKT. SAMIA KINARA WA MAJI AFRIKA




 
#KAZIINAONGEA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ni Kinara wa Maji Afrika (The PANAFRICAN Water, Sanitation and Hygiene Champion Award) katika kuthibitisha hilo mwishoni mwa wiki iliyopita amepokea tuzo ya kinara wa maji kutoka kwa Taasisi ya WaterAid UK ya nchini Uingereza wakati wa hafla ya Kilele cha Wiki ya Maji na Uzinduzi wa Sera ya Taifa ya Maji 2002, Toleo la 2025 katika Ukumbi wa Mikutano wa Mlimani City jijini, Dar es Salaam.

 Ikumbukwe kuwa Rais Samia pia ni kinara wa matumizi ya Nishati Safi na Salama ya Kupikia.

*#Kazi na Utu, Tunasonga Mbele*

Post a Comment

0 Comments