DOTTO MAGARI ACHUKUA FOMU YA UBUNGE JIMBO LA KINONDONI


NA MWANDISHI WETU

Doto Keto maarufu kama Doto Magari amechukua Fomu ya kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kumpa nafasi ya kugombea Ubunge Jimbo la Kinondoni, Dar es Salaam

Magari, amekabidhiwa fomu na Katibu wa Jumuiya ya Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Amos Richard.

Post a Comment

0 Comments