MAJALIWA AMWAKILISHA RAIS SAMIA KWENYE KONGAMANO LA AMANI, MWANZA


MM


#KAZIINAONGEA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Juni 29, 2025 amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye kongamano la Afrika Mashariki la Amani lililoandaliwa na The Islamic Foundation pamoja na Safina Islamic Foundation, katika viwanja vya shule ya msingi Mirongo jijini Mwanza

Kongamano hilo ni jukwaa muhimu la kuwaleta pamoja viongozi wa dini, wataalamu, vijana, wanawake na wadau wa maendeleo kutoka Mataifa mbalimbali ya Afrika Mashariki ili kujadili masuala ya msingi yanayogusa jamii kwa ujumla.
 
Kaulimbiu ya Kongamano hilo ni isemayo *_Amani, Imani na Mshikamano_*

*#KazinaUtuTunasongaMbele*

Post a Comment

0 Comments