WAZIRI MKUU AMWAKILISHA RAIS DKT. SAMIA KILELE CHA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi alipowasili kwenye viwanja vya Chinangali jijini Dodoma kumwakilisha  Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kilele cha Wiki ya Utumishi wa Umma, Juni 23, 2025.  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Mwandishi wa Taarifa Rasmi za Bunge, Patson Sobha alipotembelea banda la maonesho la Bunge  alipomwakilisha  Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Kilele cha Wiki ya Utumishi wa Umma  kwenye Viwanja vya Chanangali jijini Dodoma, Juni 23, 2025.  Kushoto ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachaweni. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Post a Comment

0 Comments