HABARI PICHA: QS MHONDA JOSEPH MTIA NIA UBUNGE JIMBO LA KINONDONI NI MMOJA WA WALIOHUDHURIA MKUTANO ULIOKUTANISHA WATIA NIA NGAZI ZA UDIWANI NA UBUNGE KINONDONI



Mjumbe wa Mkutano Mkuu Taifa aliyemaliza Muda wake kuwakilisha Wilaya ya Kinondoni (Jumuiya ya Wazazi CCM), pia Mmilliki wa makampuni ya “QS Mhonda J Apex Group of Companies Ltd” pia tena  ni mfadhiri wa Wanamuziki na Wasanii mbalimbali ndugu Qs Mhonda  Joseph akiwa mmoja wa wahudhuriaji wa mkutano ambao umekusanya wagombea wote wa  udiwani na ubunge wa majimbo ya kinondoni  na kawe akiwa kama mmoja wa watia nia ya kugombea  nafasi ya ubunge  jimbo  la kinondoni.

Post a Comment

0 Comments