#KAZIINAONGEA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amehudhuria sherehe za miaka 50 ya Uhuru wa Comoro zilizofanyika Julai 6, 2025, katika Uwanja wa Malouzini, Jijini Moroni,
Rais Samia amehudhuria sherehe hizo kufuatia mwaliko rasmi kutoka kwa Rais wa Comoro, Azali Assoumani, ambaye pia ni mwenyeji wa maadhimisho hayo, ambapo Dkt. Samia alikuwa mgeni rasmi.
Sherehe hizo zimehudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Kitaifa na Kimataifa, zikielezea mshikamano na uhusiano wa kidiplomasia kati ya Tanzania na Comoro.
#KazinaUtuTunasongaMbele

0 Comments