RAIS SAMIA ATUNUKIWA NISHANI YA JUU YA BARAZA MICHEZO DUNIANI





Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipewa Tuzo ya Heshima ya Uanachama wa Baraza la Michezo ya Majeshi Duniani (Honorary Member) na Makamu wa Rais wa CISM Kanda ya Afrika Meja Jenerali Maikano Abdullahi kutoka Nigeria kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Agosti, 2025.        

Post a Comment

0 Comments