Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa ndani ya basi wakati alipokagua mabasi mapya ya awamu ya Pili ya maradi wa mabasi yaendayo haraka (BRT – 2) kwenye Bandari ya Dar es Salaam, Agosti 13, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua mabasi ya awamu ya Pili ya maradi wa mabasi yaendayo haraka (BRT – 2) kwenye Bandari ya Dar es Salaam, Agosti 13, 2025. Kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, William Lukuvi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua mabasi ya awamu ya pili ya maradi wa mabasi yaendayo haraka (BRT – 2) kwenye Bandari ya Dar es Salaam, Agosti 13, 2025. Wa pili kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, William Lukuvi na Kulia ni Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI, Zainab Katimba . (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, William Lukuvi (kushoto kwake) wakikagua kituo cha mabasi yaendayo haraka Mbagala Rangi Tatu wakati Waziri Mkuu alipokagua mabasi mapya ya awamu ya Pili ya maradi wa mabasi yaendayo haraka (BRT – 2) kwenye Bandari ya Dar es Salaam, na vituo vikuu vya mabasi hayo, Gerezani na Mbagara Rangi tatu , Agosti 13, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishuhudia abiria waliokuwa wakilipa nauli ya mabasi yaendayo haraka kwa kutumia kadi wakati alipotembelea kituo cha mabasi hayo awamu pili cha Gerezani jijini Dar es salaam, Agosti 13, 2025. Kushoto ni Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI, Zainab Katimba. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na viongozi baada ya kukamilisha ziara ya kukagua mabasi mapya ya awamu ya pili ya mradi wa mabasi yaendayo haraka (BRT – 2) na vituo vya mabasi hayo Mbagala Rangi Tatu na Gerezani jijini Dar es salaam, Agosti 13, 2025. Kutoka kushoto ni Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI, Zainab Katimba, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, William Lukuvi na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Dkt. Jim Yonaz. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
0 Comments