PICHA mbalimbali za Mgombea mwenza wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akiwa kwenye mkutano wake wa hadhara wa kampeni uliofanyika leo Oktoba 22, 2025 katika uwanja wa mpira wa John Mwakangale,Kyela mjini mkoani Mbeya,ikiwa ni muendelezo wa mikutano yake ya kampeni ya lala salama katika kuhakikisha mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt.Samia Suluhu Hassan,Wabunge na Madiwani wanapata kura za ushindi wa kishindo kwenye uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoka 29 mwkaa huu
0 Comments