Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na ujumbe wa vijana wa Kitanzania wanaoishi nchini Oman, ulioongozwa na Kiongozi wao, Bw. Khalid Al Barwani, Ikulu Ndogo ya Tunguu, Zanzibar, tarehe 22 Januari, 2026.
Ujumbe huo ulishiriki kuunga mkono juhudi za Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan za kutangaza utalii wa Tanzania duniani kupitia flamu ya ‘Tanzania: The Royal Tour’ katika nchi za Oman, Uarabuni, Saudi Arabia, Sudan, Ethiopia, Kenya, Uganda, Rwanda na Burundi.
_
#KaziNaUtuTunasongaMbele
#KaziIendelee
#TabasamuLaUtu
0 Comments