CHATANDA AWAITA WANAWAKE KUJITOKEZA KUGOMBEA



Na Mwandishi Wetu, Muheza, Tanga

Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania (UWT), Ndg. Mary Pius Chatanda (MCC) amewaita wanawake wote nchini kujitokeza kwa wingi kugombea katika nafasi mbalimbali za uongozi katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji  unaotarajiwa kufanyika mwezi Novemba mwaka huu.

Chatanda amesisitiza kuwa, wanawake wanauwezo mkubwa wa kiuongozi na wanastahili kuungwa mkono na kuaminiwa na jamii nzima kwa ujumla.

Post a Comment

0 Comments