Bw Godfrey Nyaisa, Afisa Mtendaji Mkuu na Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi kutoka Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) akizungumza na wajumbe wa Baraza kwenye ufunguzi wa Baraza la Wafanyakazi na kikao cha kwanza cha Baraza hilo kwa mwaka wa fedha 2024/2025 mkoani Morogoro.
Bi Christina Matage Afisa Kazi kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na watu wenye Ulemavu akitoa mafunzo juu ya namna ya uendeshaji wa mabaraza ya wafanyakazi kwa wajumbe wapya wa baraza la wafanyakazi kutoka Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) mkoani Morogoro.



0 Comments