Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi ametoa mkono wa Eid El Fitr kwa Wananchi wenye mahitaji Maalum wakiwemo Yatima, Wajane, Wazee na watu wenye ulemavu katika Viwanja vya Ikulu Zanzibar, tarehe 31 Machi 2025.
Aidha, Rais Dkt.Mwinyi baada ya kutoka kushiriki Sala ya Eid El Fitry iliofanyika katika Msikiti wa Jamiu Zinjibar Mazizini alikutana na Masheikh wa Zanzibar.
.jpg)
0 Comments