KAWAIDA APOKELEWA CHUO CHA MUST RUKWA - SUMBAWANGA


Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Taifa Ndg. Mohammed Ali Kawaida (MCC) amepokelewa katika Chuo Kikuu Cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST) kampasi ya Sumbawanga leo 15 Juni, 2025.

Mwenyekiti Kawaida amefika chuoni hapo Kwa ajili ya kukagua Maendeleo ya Ujenzi wa Mradi wa Chuo Kikuu Cha MUST RUKWA COLLEGE Sumbawanga vijijini ikiwa ni Siku ya pili ya Ziara yake katika Mkoa wa Rukwa.

Post a Comment

0 Comments