Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Makete (2022-2027), Mjumbe wa Kamati ya Siasa Wilaya ya Makete (2022-2027), Mjumbe wa Mkutano Mkuu CCM Taifa (2022-2027), Mjumbe wa Bodi ya Jumuiya ya Wafanyabiashara Tanzania (JWT) (2023 Mfanyabiashara K,koo, Award Mpandila ( kushoto), akichukua fomu kuwania mchakato wa Ubunge wa Jimbo la Makete Mkoani Njombe.
0 Comments