NA MWANDISHI WETU
MUSLIM Hassanali amechukua fumo ya kuomba ridhaa ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Kinondoni.
Akizungumza leo Juni 30, 2025 Hassanali amesema ni haki ya kila Mwananchi kipindi hiki kujipima na kujitathmini na Kisha kuchukua fomu kuomba ridhaa hiyo.
Hassanali amewahi kugombea Ubunge Kugoma na Ilala Kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo na sasa anagombea Jimbo la Kinondoni kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM).
0 Comments