Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza kwenye Mkutano Mkuu wa Chama cha Madaktari Tanzania (MAT) na Kongamano la Kitaifa la Tiba pamoja na maadhimisho ya miaka 60 ya MAT, wakati alipomwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye mkutano huo uliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha jijini Arusha, Juni 18, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).


0 Comments