HASSAN YASSIN ACHUKUA FOMU KUOMBA RIDHAA UBUNGE JIMBO LA KAWE




KATIBU wa Uchumi, Mipango na Fedha wa Umoja wa Vijana wa Chama cha mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Dar es Salaam Hassan Ally Yassin leo Julai 1, 2025 amechukua Fomu ya kuomba ridhaa ya Chama chake kugombea Ubunge Jimbo la Kawe, Dar es Salaam

Yassin, amekabidhiwa fomu na Katibu wa Jumuiya ya Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Amos Richard.

Post a Comment

0 Comments