NA MWANDISHI WETU
MJUMBE wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) kwenda Mkutano Mkuu Ramatu Sheya amechukua na kurejesha fumu ya kuomba ridhaa ya kugombea nafasi ya Udiwani Viti Maalum Kata ya Mwananyamala.
Akizungumza na waandishi wa habari leo Juni 2, 2025 baada ya kufanya hivyo, Sheya amesema kuwa amefanya hivyo kutimiza haki yake ya kikatiba ya kuchagua ama kuchaguliwa.
Mgombea huyo amechukua na kurejesha fomu katika ofisi za Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Kinondoni, ambapo amekabidhi kwa Katibu wa UWT wa Wilaya hiyo, Haziati Juma.

0 Comments