LUHAGA MPINA KUCHUKUA FOMU YA KUWANIA URAIS KESHO


Mgombea Urais wa Chama cha ACT Wazalendo Ndg.Luhaga Joelson Mpina atachukua fomu ya kuwania Urais Siku ya Kesho Ijumaa Agosti 15/2025 Saa 9:30 Alasiri 

Atachukua fomu katika ofisi za Tume ya Uchaguzi INEC katika eneo la Ndejengwa Mkoa wa  Dodoma

Post a Comment

0 Comments