RAIS WA ZANZIBAR MHE.DKT. MWINYI AMEIFUNGUA HOTELI YA KITALII YA ZANBREEZE BEACH RESORT &SPA ZANZIBAR


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuifungua Hoteli ya Kitalii ya Zanbreeze Beach Resort & SPA Zanzibar, iliyoko katika Kijiji cha Kikungwi Mkoa wa Kusini Unguja, ufunguzi huo uliyofanyika leo 16-8-2025.(Picha na Ikulu).


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuweka Jiwe la Msingi la ufunguzi wa Hoteli ya Kitali ya Zanbreeze Beach Resort &SPA Zanzibar iliyoko katika Kijiji cha Kikungwi Mkoa wa Kusini Unguja, ufunguzi huo uliyofanyika leo 16-8-2025.(Picha na Ikulu).


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitembelea Hoteli ya Zanbreeze Beach Resort &SPA Zanzibar, baada ya kuifungua leo 16-8-2025, iliyoko katika kijiji cha kikungwi Mkoa wa Kusini Unguja.(Picha na Ikulu)

Post a Comment

0 Comments