MAJALIWA AMWAKILISHA RAIS SAMIA BARAZA LA MAULID


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na waumini wa dini ya kiislam alipomwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika baraza la Maulid Kitaifa linalofanyika, Korogwe mkoani Tanga, Septemba 05, 2025.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania Sheikh Dkt. Abubakar Zubeir bin in Ali na Mama Shamim Khan, wakati alipomwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika baraza la Maulid Kitaifa linalofanyika, Korogwe mkoani Tanga, Septemba 05, 2025.

Post a Comment

0 Comments