Ngome ya Wanawake ya ACT Wazalendo imempa tuzo ya heshima Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) Mstaafu Prof. Assad na Rais Mstaafu wa Chama cha Wanasheria Tanganyika Mstaafu Tanganyika (TLS) Fatma Karume kutokana na mchango wao kwenye kupigania haki, uwazi, uwajibikaji na usawa katika jamii. Tuzo hizo zimetolewa kwenye maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani iliyoadhimishwa katika Hoteli ya Millenium Towers, Dar es salaam.

0 Comments