Leo Juni 24, 2025 Mwanachama wa ACT Wazalendo, Shekhe Ponda Issa Ponda amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya chama cha ACT Wazalendo kugombea Ubunge wa Jimbo la Temeke.
Shekhe Ponda amekabidhiwa fomu hiyo na Katibu wa Jimbo la Temeke, Ndugu Mussa Bakary.

0 Comments