NA MWANDISHI WETU
MJUMBE wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam Zaituni Chanzi amechukua fomu ya kutia nia kuwania udiwani wa Viti Maalum Kata ya Magomeni Halmashauri ya Kinondoni.
Akizungumza na waandishi wa habari leo Juni 29, 2025 baada ya kukabidhiwa fomu hiyo ameomba ridhaa ya Chama cha Mapinduzi kumpatia na fasi ili kuwatumikia wananchi.
Mgombea huyo amechukua fomu katika ofisi za Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Kinondoni, ambapo amekabidhiwa na Katibu wa UWT wa Wilaya hiyo, Haziati Juma.

0 Comments