NA MWANDISHI WETU
ALIYEWAHI Kuwa Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa kuwakilisha Jumuliya ya WAzazi Wilaya ya Kinondoni QS. Joseph Boniface Mhonda amerejesha fomu ya kutia nia kuwania Ubunge wa Jimbo la Kinondoni, Halmashauri ya Kinondoni.
Akizungumza na waandishi wa habari leo Jluya 2, 2025 baada ya kurejesha fomu hiyo ameomba ridhaa ya Chama cha Mapinduzi kumpatia na fasi ili kuwatumikia wananchi.
Mhonda, amekabidhi fomu hiyo kwa Katibu wa Jumuiya ya Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Amos Richard.

0 Comments