TANZANI NA UFARANSA KUJADILIANA JUU YA UHUSIANO WA NCHI HIZO MBILI




TANZANI NA UFARANSA KUJADILIANA JUU YA UHUSIANO WA NCHI HIZO MBILI

#KAZIINAONGEA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb), amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania Anne Sophie Ave.

Kikao hicho kimefanyika Julai 02, 2025 kwenye ofisi ndogo za Wizara jijini Dar es Salaam, ambapo wameweza kujadiliana mambo mengi ya mahusiano kati ya Tanzania na Ufaransa.

*#KazinaUtuTunasongaMbele*

Post a Comment

0 Comments