Orodha ya Majimbo Ambayo Wanachama wa Chama cha NLD Wameshachukua Fomu za Kuomba Kuteuliwa Kugombea Ubunge
Majimbo Ambayo Wanachama wa NLD Wameshachukua Fomu za Kugombea Ubunge (Hadi jana Tarehe 19 Agosti 2025)
NLD inawapongeza wanachama wake waliojitokeza kuchukua fomu za kugombea nafasi ya Ubunge katika uchaguzi ujao. Hadi sasa, fomu zimechukuliwa katika majimbo yafuatayo.
1. Mvumi
2. Segerea
3. Iramba Magharibi
4. Dodoma Mjini
5. Babati Mjini
6. Bunda Mjini
7. Sumve
8. Kwimba
9. Kondoa Mjini
10. Singida Mjini
11. Arusha Mjini
12. Ukerewe
13. Nyamagana
14. Buchosa
15. Sengerema
16. Ilongero
17. Korogwe Mjini
18. Ukonga
19. Arumeru Magharibi
20. Arumeru Mashariki
21. Kawe
22. Kinondoni
23. Kibaha
Chama cha NLD kinaelekea kuwahimiza wanachama wengine na Watanzania kwa ujumla kuendelea kujitokeza kushiriki mchakato huu muhimu wa kidemokrasia nchini.
Imetolewa na
Mkurugenzi wa Mipango na Uchaguzi Taifa, NLD
Ndugu Don Waziri Mnyamani
Temeke, Tandika, Mtaa Lituh
Dar es Salaam, Tanzania
0 Comments