BODI YA WAKURUGENZI NGORONGORO YAANZA VIKAO NGAZI YA KAMATI ZA KISEKTA







Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) inayoongozwa na Mwenyekiti wake, Mkuu wa Majeshi mstaafu  Jenerali Venance Salvatory Mabeyo imeanza Vikao vya Bodi hiyo ngazi ya Kamati za Kisekta  kujadili utekelezaji wa Majukumu mbalimbali ya shirika kwa kipindi cha miezi 6 iliyopita (Julai- Desemba 2025) mwaka  wa Fedha 2025/2026

Post a Comment

0 Comments