Mwinjilisti wa Kimataifa Alphonce Temba akitoa maoni katika moja ya vikao na Viongozi wa Dini, Ikulu.
.......….…...
Ufunuo kila Mtanzania aingie kumlilia Mungu juu ya Maovu, Vifo na hasira ya Mungu kwa Dunia na Taifa la Tanzania, kwa ujumla wake tuingie katika Maombi ya Kurehemiwa Toba na kuomboleza Mungu aiponye Nchi yetu na Majanga na Mapigo makubwa na ya ajabu yasiendelee ndani ya Miezi mitatu. Mwinjilist wa Kimataifa Alphonce Temba. 05/12/2023. Zaburi 127.1
.jpg)
0 Comments