BREAKING NEWZZZZZ, ENEO LA HIFADHI NGORONGORO LASHINDA TUZO YA KUWA KIVUTIO BORA CHA UTALII BARANI AFRIKA MWAKA 2025.


Eneo la Hiafadhi ya Ngorongoro limetangazwa na kushinda tuzo ya kuwa kivutio bora cha utalii Barani Afrika kwa mwaka 2025. 

Ngororngoro imeibuka kidedea katika tuzo za World Travel Awards (WTA) zilizofanyika  tarehe 28 Juni,2025 katika hoteli ya Johari Rotana Dar es Salaam baada ya kuvishinda vivutio vingine vya utalii ambavyo ni  Harbeespoort Aerial Cableway, V & AWaterfront, Table Mountain na Kisiwa cha Robben za Afrika Kusini, Pyramids of Giza ya Misri, ziwa Malawi na Mlima Kilimanjaro.

#TanzaniaShines
#Ngorongoroshines

Post a Comment

0 Comments