#KAZIINAONGEA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amemuapisha Jaji George Mcheche Masaju kuwa Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma Juni 15, 2025.
Hafla hiyo ya imehudhuriwa na viongozi mbalimbali akiwemo aliyekuwa Jaji Mkuu wa Mahakama Tanzania Profesa Ibrahim Juma, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Tulia Ackson, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, sambamba na viongozi wengine wa Chama na Serikali.
*#KazinaUtuTunasongaMbele*


0 Comments